Overview
Tunu ya Mashairi ni kitabu cha kifasihi am-bacho kina mkusanyiko wa mashairi ambayo yanazungumzia maswala yanayokumba jamii ya sasa. Uzuri wa mkusanyiko wa mashairi haya unafunua maudhui na faida zinazoto-kana na maudhui zinazozungumziwa. Katika diwani hili, maudhui yaliyoangaziwa ni: Ufisadi, uozo, ugomvi, imani, usaliti, uandishi, marafiki, zawadi, dini, uongozi bora, utengano, shibe, tamaa, uongo, ubad-hirifu, unafiki, uchochole, wizi, utamaduni, upole, kiburi, fanaka, bidi, ukiritimba, urithi, chuki, siri, mihadarati, tuhuma, dhuluma, upelelezi, kejeli, uzinzi, uchawi, elimu, matu-si, shukrani n.k. Mbinu za malenga zinatumika katika mashairi hayo. Kila la heri unapojipanga kuyasoma, kukariri na kuyaimba mashairi hayo.
- | Author: Kelvin Munene
- | Publisher: Independently Published
- | Publication Date: Feb 13, 2023
- | Number of Pages: 106 pages
- | Binding: Paperback or Softback
- | ISBN-13: 9798374686999