Nyuma Ya Pazia

Langaa RPCIG
SKU:
9789956792184
|
ISBN13:
9789956792184
$30.08
(No reviews yet)
Condition:
New
Usually Ships in 24hrs
Current Stock:
Estimated Delivery by: | Fastest delivery by:
Adding to cart… The item has been added
Buy ebook
Nyuma Ya Pazia inazungumzia ubadhirifu unaomhusisha rais na mawaziri wake katika nchi ya Mafuriko au Abracadabra. Rais akishirikiana na waziri mkuu walileta kampuni ya kigeni ya kuua wadudu ya Richmen kuwekeza kwenye kuzalisha umeme nchini Mafurikony; Richmen to invest in power generation in Mafuriko. Kupitia rushwa na ushawishi wa wakubwa hawa Richmen ilipata tenda na kutumika kama mrija wa kuibia mabilioni ya fedha za umma toka Benki Kuu. Wananchi walipogundua jinai hii waliiangusha serikali na kuwaaadhibu watawala wao kwa kuwafunga maisha na wengine kuhukumiwa vifo. Kitabu kinaupiga kijembe tawala fisadi barani Afrika. Nyuma Ya Pazia or Behind the Curtain is about corruption involving the president, and his ministers who rob the country of Mafuriko or Abracadabra. President in conjunction with his Premier brought fake foreign insecticide company; Richmen to invest in power generation in Mafuriko. Through logrolling Richmen lands a very lucrative tender used as a conduit of stealing millions from the Central Bank. Richmen is used to syphon billions of dollars from the treasury. When people get wind of this theft, force the government to crumble thereby rulers are punished by being jailed or other being sentenced to death. The book satirizes African kleptocratic regimes.


  • | Author: Mhango, Nkwazi Nkuzi
  • | Publisher: Langaa RPCIG
  • | Publication Date: Feb 02, 2015
  • | Number of Pages: 254 pages
  • | Language: Swahili
  • | Binding: Paperback
  • | ISBN-10: 9956792187
  • | ISBN-13: 9789956792184
Author:
Ezra Pound, Juan Arabia
Publisher:
Buenos Aires Poetry
Publication Date:
Nov 01, 2016
Number of pages:
170 pages
Language:
Spanish
Binding:
Paperback
ISBN-10:
9874623314
ISBN-13:
9789874623317