
Vitimbi vya Mama wa Kambo: na hadithi nyingine (Swahili Edition)
ISBN13:
9789987084081
$25.28
Vitimbi vya Mama wa Kambo, Wivu, Radhi za Wazazi, Ra ki Maluuni, Mchumba Kaka na Adui Mama ni hadithi zinazosawiri jamii alimochipukia mwandishi, au kuishi na kufanya kazi akiwa polisi, mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio katika nchi za Tanzania, Rwanda, Burundi na Uingereza kwa takriban miaka 40. Kitabu hiki ni matokeo ya maombi ya watu wengi waliomsikiliza akizisimulia katika kipindi cha Hadithi na Muziki cha Redio Rwanda katika miaka ya 1980 na 1990. Hadithi hizi pia zimekuwa zikitumiwa na wakuza mitaala wa Kiswahili nchini Rwanda shuleni na zimewafurahisha wapenzi wengine wa fasihi nje ya shule.
- | Author: Ally Yusufu Mugenzi
- | Publisher: Mkuki Na Nyota Publishers
- | Publication Date: Dec 03, 2020
- | Number of Pages: 162 pages
- | Language: Swahili
- | Binding: Paperback
- | ISBN-10: 9987084087
- | ISBN-13: 9789987084081
- Author:
- Ally Yusufu Mugenzi
- Publisher:
- Mkuki Na Nyota Publishers
- Publication Date:
- Dec 03, 2020
- Number of pages:
- 162 pages
- Language:
- Swahili
- Binding:
- Paperback
- ISBN-10:
- 9987084087
- ISBN-13:
- 9789987084081