Sale Now on! Extra 5% off Sitewide
Sale

Safari YA Kuwa Huru: Mwanzo wako wa Maisha yenye Tumaini, Afya, na Furaha (Swahili Edition)

Xulon Press
SKU:
9781545659632
|
ISBN13:
9781545659632
$16.99 $16.30
(No reviews yet)
Condition:
New
Usually Ships in 24hrs
Current Stock:
Estimated Delivery by: | Fastest delivery by:
Adding to cart… The item has been added
Buy ebook
Kama ungebadili maisha yako, ni vipi yangekuwa tofauti ?Safari ya kuwa huru ni uzoefu binafsi ambao utaongozwa kupitia mchakato wa kujulikana na wewe mwenyewe, watu wengine na Mungu pia. Safari ya kuwa huru inatuonyesha: - Ya kwamba mabadiliko ya kudumu yanawezekana.- Vile unaweza kushinda vikwazo na uwe na nguvu ya kuendelea mpaka mwisho.- Jinsi ya kuandika azimio lako mwenyewe kuhusu mabadiliko ili uweke fikira zako kwenye safari yako."Ninapendekeza kitabu hiki kwa kikundi cha watu, kwani kinampa mtu binafsi nafasi kubwa ya kujifunza, kukua na kuwajibika kwa kila mhusika kwenye kikundi. Kitabu hiki kilinifanya nitambue kuwa ya kale yamepita na ninaishi katika maisha mapya yenye uhuru".--Cornel Onyango, Co-Founder and Country Director for Care for Aids, Inc.Kupitia kitabu cha Safari ya kuwa Huru katika kikao cha kikundi kidogo, kulivunja minyororo ambayo ilikuwa imeniweka katika utumwa kihisia, kiakili na kiroho. Kuwa na mawazo yaliyo na afya zaidi kumeniwezesha kwa hakika kuweza kupata upendo wa Mungu na uwepo wake kila siku.--Anna Edgeston Ed.D. LPC -MHSP Scott Reall alifuzu kutoka chuo kikuu cha Otterbein mwaka wa 1976 na Shahada ya Sanaa Katika Afya na Sayansi ya mazoezi akiwa na imani ya kwamba kuna mengi zaidi kuhusu kuwa mzima bali na kuwa na mwili wenye kimo cha kufaa. Yeye ni kiongozi katika mwendo wa duniani kote wa jamii za uponyaji za vikundi vidogo ili watu wote wakue na wabadilike pamoja katike mahali palipo na usalama na mahali watakubalika. Scott ameandika vitabu vinavyofuatana ambavyo vinahusu safari na ndiye Mwanzilishi wa huduma ya vikundi vidogo vya urejesho duniani, isiyo ya kuleta faida iliyoanzishwa Nashville TN. www.restoresmallgroups.org


  • | Author: Scott Reall
  • | Publisher: Xulon Press
  • | Publication Date: February 21, 2020
  • | Number of Pages: 228 pages
  • | Language: Swahili
  • | Binding: Paperback
  • | ISBN-10: 154565963X
  • | ISBN-13: 9781545659632
Author:
Scott Reall
Publisher:
Xulon Press
Publication Date:
February 21, 2020
Number of pages:
228 pages
Language:
Swahili
Binding:
Paperback
ISBN-10:
154565963X
ISBN-13:
9781545659632